Weka App Yako Kwenye Soko la Play Store

Weka App Yako Kwenye Soko la Play Store

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama umefanikiwa kutengeneza app yako ya kwanza na ungependa kuweka app yako kwenye soko la play store lakini kwa bahati mbaya huna zaidi ya TZS 60,000 za kulipia ili kuwa na akaunti ya kuweka app play store basi upo sehemu sahihi. Utaweza kupata huduma ya kuweka app play store kwa gharama nafuu na kwa haraka. App yako itaweza kuonekana kwenye soko la Play Store kupitia app ya Play Store kwenye simu zote za Android.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kwa kuruhusu watu wengi kupakua app yako kutoka kwenye soko la Play Store.
30,000

TZS

  • 7 Days Kukamilika
  • Utasaidiwa kutengeneza Screenshots
  • Utawekewa maelezo kuhusu app yako