Tengeneza Pesa Kupitia Tovuti Kama Jamii Forums

Tengeneza Pesa Kupitia Tovuti Kama Jamii Forums

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahitaji kuwa na forums basi unaweza kupata forums yako bure kabisa, forum hii inafanya kazi kama jamii forums lakini haifanani na jamii forum kwa muonekano. Forum hii ni nyepesi sana na unaweza kutumia kwenye server ya aina yoyote.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kwa kuweka matangazo kwenye forum yako.
Bure

TZS

  • 2 Kukamilika
  • TZS 60,000 Ukisaidiwa kuinstall mfumo huu pamoja na domain na hosting ya bure
  • Bure kabisa ukinstall mfumo huu mwenyewe