Tengeneza Pesa Kupitia App ya Movie (Android)

Tengeneza Pesa Kupitia App ya Movie (Android)

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama wewe ni mpenzi wa movie na ungependa kutengeneza pesa kupitia Movie basi nunua app hii. Kupitia app hii utaweza kuweka movie zote unazotaka na watu wataweza kuzitazama kwa pesa au kwa kuangalia matangazo. Pia unaweza kuruhsu watumiaji wako kupakua movie mara baada ya kuangalia matangazo ndani ya app.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kupitia matangazo yaliyopo ndani ya App.

Pia watumiaji wanaweza kununua movie ndani ya app na malipo yataingia kwenye akaunti yako ya Adsense.
140,000

TZS

  • Domain ya .COM na Hosting yenye GB 100 Bure
  • Utasaidiwa kuinstall app hiyo kwenye Domain yako
  • Utasaidiwa kubadilisha rangi, logo na Jina la App yako