Tengeneza Pesa Kupitia Adsense Bila Kuandika Makala

Tengeneza Pesa Kupitia Adsense Bila Kuandika Makala

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama umekuwa ukitaka kutengeneza pesa kupitia Adsense bila kuandika makala yoyote basi hii ndio nafasi yako, kupitia tovuti hii utaweza kumiliki tovuti ambayo inaweza kuchukua makala kutoka kwenye tovuti nyingine na kuziweka moja kwa moja kwenye tovuti yako. Uzuri ni kuwa tovuti hii inaweza kuendelea kufanya hivyo yenyewe bila wewe kuangaika nayo kila siku.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kwa kutumia matangazo ya Adsense

Unaweza kutengeneza pesa kwa matangazo ya kawaida ya watu mbalimbali ambapo unaweza kulipwa kabla ya kuweka.
135,000

TZS

  • Siku 3 Kukamilika
  • Utapata hosting ya Bure (GB 100)
  • Utapata domain ya Bure yoyote ya .COM
  • Tutakuwekea mfumo huu kwenye domain yako
  • Tutakusaidia kubadilisha logo na rangi ya website