Biashara Mtandaoni Kama Kupatana

Biashara Mtandaoni Kama Kupatana

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kumiliki biashara kama kupatana.com basi hii ni nafasi yako, kuputia tovuti hii utaweza kupata tovuti ya kuuza na kununua ambayo inakuja na app ya mfumo wa Android moja kwa moja. App na website zote zinaruhusu watumiaji kuweka matangazo ya biashara kwa urahisi na haraka.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kwa kuweka bei maalum za kuruhusu watu kuweka matangazo yao ya biashara.

Utaweza kupata pesa kwa kutumia Adsense kwa upande wa website.

Utaweza kupata pesa kwa kutumia Admob kwa upande wa app ya Android.
250,000

TZS

  • 10 Days Kukamilika
  • Utapa mfumo mzima ukiwa pamoja na Android na Website
  • Utapata hosting pamoja na domain ya bure kwa mwaka mzima
  • Utapata website pamoja na App yake ya Android