App Kutengeneza Pesa Bila Kuweka Kitu Chochote

Kuhusu Mfumo Huu:

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kutengeneza pesa mtandaoni kupitia Admob bila kuwa na app ambayo ni lazima upakie makala ndani yake basi unasoma makala sahihi. Kupitia app hii mpya utaweza kutengeneza pesa kwa kuweka tu app yako kwenye soko la Play Store na moja kwa moja unaweza kuanza kutengeneza pesa kupitia Admob kwa urahis na haraka. App hii inaruhusu wewe na watumiaji wako kupata pesa kwa pamoja na watumiaji watapata kiasi kidogo kwa kukusanya point na moja kwa moja point hizo anaweza kuzibadilisha na kuwa kiwango cha pesa.

Kutengeneza Pesa:

Utaweza kutengeneza pesa kupitia Admob kwani mtumiaji atakacho kuwa anafanya kwenye app yako ni kuangalia matangazo tu.
140,000

TZS

  • Siku 7 Kukamilika
  • Utawekewa logo yako
  • Rangi ya App yako
  • Utawekewa app Play Store kwa TZS 20,000