Kampuni ya Samsung imeboresha zaidi jinsi inavyotoa matoleo yake mapya ya Android huku ikiongeza list ya simu nyingi zaidi ambazo zinategemewa kupata mfumo mpya wa Android 11.
Kama kwa sasa simu yako ya Samsung inatumia mfumo mpya wa Android 10 pamoja na One UI 2.5 na simu yako ni ya mwaka 2020 basi pengine matumaini ya simu hiyo kupata Android 11 yanaweza kuwa ni makubwa zaidi.
Pamoja na kwamba mfumo wa Android 11 ndio mfumo mpya wa Android, Samsung pia imeboresha zaidi mfumo wake mpya wa One UI 3.0 ambao unakuja na maboresho makubwa ya muonekano ambayo unaweza kuona baadhi kupitia video hapo chini.
Baada ya kuona nini kipo kwenye mfumo mpya wa Android 11 na One UI 3.0 basi moja kwa moja twende kwenye list hii ya simu za Samsung zitakazopata mfumo mpya wa Android 11.
TABLE OF CONTENTS
Simu za Samsung Galaxy S na Note series
- Galaxy S20 FE
- Galaxy S20 FE 5G
- Galaxy Note 20
- Galaxy Note 20 5G
- Galaxy Note 20 Ultra
- Galaxy Note 20 Ultra 5G
- Galaxy Z Fold 2
- Galaxy Z Fold 2 5G
- Galaxy Z Flip
- Galaxy Z Flip 5G
- Galaxy Tab S7
- Galaxy Tab S7 5G
- Galaxy Tab S7+
- Galaxy Tab S7+ 5G
- Galaxy S20
- Galaxy S20 5G
- Galaxy S20 5G UW
- Galaxy S20+
- Galaxy S20+ 5G
- Galaxy S20 Ultra
- Galaxy S20 Ultra 5G
- Galaxy Fold
- Galaxy Fold 5G
- Galaxy Note 10+
- Galaxy Note 10+ 5G
- Galaxy Note 10
- Galaxy Note 10 5G
- Galaxy S10 5G
- Galaxy S10+
- Galaxy S10
- Galaxy S10e
- Galaxy Note 10 Lite
- Galaxy S10 Lite
Simu za Samsung Galaxy A-series
- Galaxy A01
- Galaxy A10
- Galaxy A10e
- Galaxy A10s
- Galaxy A11
- Galaxy A20
- Galaxy A20e
- Galaxy A20s
- Galaxy A21
- Galaxy A21s
- Galaxy A30
- Galaxy A30s
- Galaxy A31
- Galaxy A40
- Galaxy A41
- Galaxy A42 5G
- Galaxy A50
- Galaxy A50s
- Galaxy A51
- Galaxy A51 5G
- Galaxy A51 5G UW
- Galaxy A60
- Galaxy A70
- Galaxy A70s
- Galaxy A71
- Galaxy A71 5G
- Galaxy A71 5G UW
- Galaxy A80
- Galaxy A8s
- Galaxy A90 5G
- Galaxy A Quantum
Simu za Samsung Galaxy M-series
- Galaxy M01
- Galaxy M01s
- Galaxy M11
- Galaxy M21
- Galaxy M21s
- Galaxy M30s
- Galaxy M31
- Galaxy M31s
- Galaxy M40
- Galaxy M51
- Galaxy M31 Prime
Simu za Samsung Galaxy F-series
Simu za Samsung Galaxy Tab na nyinginezo
- Galaxy Tab Active 3
- Galaxy Tab A7 10.4 2020
- Galaxy Tab S5e
- Galaxy Tab S6
- Galaxy Tab S6 5G
- Galaxy Tab S6 Lite
- Galaxy Tab A 10.1 2019
- Galaxy Tab A 8.0 2019
- Galaxy Tab Active Pro
- Galaxy Xcover Pro
- Galaxy Xcover 4s (Probably)
Na hizo ndio baadhi ya simu ambazo zina uwezekano mkubwa wa kupata Android 11 pamoja na One UI 3.0, baadhi ya simu kwenye list hiyo tayari zimetangazwa kupata Android 11 ikiwa pamoja na Galaxy M21, Galaxy Note 20 zote pamoja na Galaxy M31.
Kwa sasa update hizo zimetoka kwa nchini India na tegemea kuona update hizo kwenye simu yako miezi ya karibuni. Kwa taarifa zaidi kuhusu simu mpya hakikisha unatembelea kipengele cha simu mpya hapa. Kumbuka tutaendelea kuongeza list hii kadri simu mpya zitakavyo endelea kuongezwa.