Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanahisi kwa namna moja ama nyingine kuna watu au mtu anashika simu yako bila kujua basi mwisho ni leo. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi na bora ya kumkamata mtu yoyote anaishika simu yako bila wewe kujua.
Kupitia njia hii utaweza kupata, picha ya huyo mtu ikiwa pamoja na apps alizotumia kama ali fanikiwa kufungua simu yako. Kabla ujasema kuwa unajua njia hiyo ambayo tulionyesha kitambo kidogo, basi pangine nikushauri uendelee kusoma makala hii hadi mwisho kwani njia hii ni tofauti kabisa na pia njia hii ni bora zaidi kuliko njia hiyo ya awali.
Sipendi kupoteza muda wako kwa kuwa najua uko bize na muda wako hivyo moja kwa moja twende kwenye makala hii ambayo nakuahidi utapenda sana makala hii.. niamini mimi.!
Kama umefuatilia video hapo juu basi moja kwa moja unaweza kupakua app iliyotajwa kwenye video kupitia link hapo chini. Kama link hiyo haifanyi kazi kwenye simu yako unaweza kupakua app hiyo kupitia Hapa.
Kwa maujanja zaidi hakikisha unatembelea Tanzania Tech kila siku, pia hakikisha hupitwi na maujanja zaidi kwa ku-subscribe kwenye channel yetu hapa kupitia mtandao wa YouTube.