TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Zawadi za Mashine ya kufulia, Flat TV, Blenda, Rice cooker na nyingine kutolewa msimu huu
TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Kampuni ya simu TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Christmas na Mwaka Mpya.

TECNO ilizindua rasmi promosheni ya “TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI” terehe 11/12/2020 ambapo mteja atakaye nunua TECNO Camon 16s na Spark 5pro basi moja kwa moja atakuwa ameingia kwenye droo ya kushindania Mashine ya kufulia, Flat TV, Blenda, Rice cooker na zawadi nyenginezo hutolewa papo hapo.

TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Advertisement

TECNO itakuwa ikitangaza washindi wa Promosheni hii ya “TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI” kwa awamu mbili, droo kubwa ya kwanza itafanyika tarehe 19/12/2020 ambapo zawadi zitakazo tolewa ni Mashine yakufulia, Gift vocha na package yenye zawadi mchanganyiko za Christmas na droo ya pili kuchezeshwa 7/1/2021 kupitia Instagram account ya tecno mobile tanzania.

TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Kwa kujikumbusha kwa ufupi TECNO Spark 5 pro na TECNO Camon 16s ni matoleo mapya kwa kampuni ya TECNO lakini pia ni simu pendwa kutokana na uwezo wake katika upande wa camera na muonekano kwa ujumla.

Camon 16s, ni simu yenye kamera kali kuzidi simu zote za TECNO nyuma ikiwa na MP 48 na selfie ni MP 16, ukubwa wa memory ni 128GB+4GB RAM na battery lenye kudumu na chaji wa muda mrefu la mAh 5000.

TECNO Kusherekea Msimu Huu wa Sikukuu na Wateja Wake

Spark 5 pro ni simu inayolenga watu wenye uchumi wa hali zote, ina camera nyenye uwezo wakuchukua picha wakati wowote haijalishi ni wakati gani na katika mazingira gani, camera ya Spark 5pro ni MP16 na selfie yenye MP 8, memory ya GB 64+GB 3 RAM huku ikiwa na battery yenye mAh 5000.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use