Video : Angalia Uzinduzi wa MacBook Mpya Kwa DK 10

Angalia hapa mubashara uzinduzi wa bidhaa mpya za Apple
Video : Angalia Uzinduzi wa MacBook Mpya Kwa DK 10 Video : Angalia Uzinduzi wa MacBook Mpya Kwa DK 10

Kampuni ya Apple siku za karibuni ilitangaza kuhusu tamasha lake la “One More Thing” Kama unavyoweza kuona jina lenyewe ni kama vile Apple inalo jambo la kuongeza kwani tamasha hili lime kuja kwa muda ambao watu wengi hawaku tegemea.

Hii ni kutokana na kuwa kampuni hiyo imezindua simu zake mpya za iPhone 12 wiki chache zilizopita na kama haitoshi kampuni hiyo sasa inalo jambo la kuongeza. Kampuni hiyo kwa sasa tayari imesha zindua laptop zake mpya za MacBook Air na MacBook Pro, huku pia ikataja tarehe ya upatikanaji wa mfumo mpya wa uendeshaji wa MacOS Big Sur.

Kwa sasa unaweza kuangalia yote yaliyojiri kwenye uzinduzi huo kwa muda wa DK 10 tu, unaweza kubofya hapo chini kujua zaidi.

Advertisement

Kujua zaidi kuhusu sifa pamoja na bei ya laptop mpya zilizo zinduliwa siku ya leo basi nakushauri kuungana na tovuti yetu ya Price in Tanzania hapa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use