in

Sunday Movie #6 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Angalia movie hii nzuri ya kumalizia jumapili yako ya 27 septemba 2020

Sunday Movie #6 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili4:24

Karibu kwenye makala nyingine ya Sunday Movie, kupitia hapa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kumalizia jumapili yako. Movie hizi nyingi zinakuwa ni movie za teknolojia au zinahusisha teknolojia ndani yake.

Kwa siku ya leo, nikusogezea movie mpya ya Alive, hii ni movie ya Korea lakini ni movie nzuri sana hasa kwa wale wanaopenda movie za mtindo huu. Movie hii inahusisha teknolojia kwa namna moja ama nyingine hivyo unaweza kuona matumizi ya teknolojia ndani ya movie hii.

Movie hii inahusisha, kijana mmoja ambaye ni mtumiaji wa teknolojia alishuhudia mji mzima aliokuwa anakaa ukishambuliwa na binadamu walio adhithirika na ugonjwa unafanya watu hao kula watu wengine “zombie” kwa namna moja ama nyingine teknolojia ina msaidia kutoka kwenye mazingira hayo magumu.

Movie hii inayo sehemu za kutisha ambazo sio nzuri kwa watoto, ni vizuri kuhakikisha unalinda wadogo kwa kuangalia movie hii pale unapokuwa na umri zaidi ya miaka 18.

Pakua Alive Hapa

Kampuni ya TECNO Kuwa Sehemu ya Simu Pendwa Zaidi Duniani.

Kama unataka kujua movie nyingine zilizopita kwenye sunday movie, unaweza kusoma hapa au unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuangalia movie za Netflix bure bila kulipia na bila kuwa na akaunti.

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.