in

Zifahamu Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra

Zifahamu hizi hapa ndio sifa pamoja na bei ya Samsung Galaxy Note 20

Zifahamu Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra

Mara baada ya uzinduzi wa simu mpya za Galaxy Note 20 na Galaxy Note 20 Ultra, sasa ni wakati wa kuangalia sifa pamoja na bei ya simu hizi.

Kwa kuwa sasa tuyo sehemu maalum ya kuonyesha sifa na bei za simu pamoja na kompyuta, sinto tumia moda mwingi kuelezea kuhusu simu hizi kwani, tumesha ongea mengi sana kuanzia simu hizi zilipo anza kuvuja miezi miwili iliyopita.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Moja kwa moja unaweza kuona muonekano wa simu hiz na kama unataka kujua sifa na bei ya Galaxy Note 20 au Galaxy Note 20 Ultra unaweza kubofya link chini ya video. Enjoy!

Samsung Galaxy Note 20

CPU: Octa-core (2×2.73 GHz Mongoose M5 & 2×2.50 GHz Cortex-A76 & 4×2.0 GHz Cortex-A55) – Global
RAM: 8 GB
Storage: 256 GB
Display: Super AMOLED, 6.7 inches
Camera: Triple 12 MP, 64 MP, 12 MP
OS: Android 10

Soma Sifa Zaidi za Galaxy Note 20 Hapa

Samsung Galaxy Note 20 Ultra

CPU: Octa-core (2×2.73 GHz Mongoose M5 & 2×2.50 GHz Cortex-A76 & 4×2.0 GHz Cortex-A55) – Global
RAM: 12 GB
Storage: 128/256/512 GB
Display: Dynamic AMOLED X2, 6.9 inches
Camera: Triple 108 MP, 12 MP, 12 MP
OS: Android 10

Soma Sifa Zaidi za Galaxy Note 20 Ultra

Mpaka hapo natumaini utakuwa umejua kuhusu simu mpya za Samsung Galaxy Note 20 pamoja na Galaxy Note 20 Ultra. Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu hizi hakikisha unatembelea sehemu ya Simu Mpya hapo juu kupitia kwenye tovuti yetu na kwenye app ya Android.

Zifahamu Simu Mpya za Samsung Galaxy Note 20 na Note 20 Ultra
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Zifahamu Hizi Hapa Bei za Simu Mpya za Redmi Note 13

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.