Weka Password Kwenye Sehemu Yoyote (Android)

Njia rahisi ya kuweka password kwenye app yoyote ndani ya simu yako
Weka Password Kwenye Sehemu Yoyote (Android) Weka Password Kwenye Sehemu Yoyote (Android)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kuweka password kwenye settings, kwenye SMS, au sehemu nyingine yoyote ndani ya simu yako.

Basi bila kuendelea kupoteza muda zaidi moja kwa moja endelea kwa kuangalia video hapo chini kisha fuata hatua zote nilizokuelekeza.

Advertisement

Hatua ya kwanza na muhimu unatakiwa kuingia kwenye kupakua app hii ya Message Locker, hakikisha unapakua app hii kupitia link hapo chini kwani zipo app nyingi sana Play Store zenye jina kama hilo. Hakikisha unapakua app hii kwa kubofya link hapo chini.

Download App Hapa

Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa unaweza kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use