Jinsi ya Kufungua App Yoyote Kupitia Notification Panel

Sasa fungua app, website au faili kwa haraka kupitia sehemu ya Notification
Jinsi ya Kufungua App Yoyote Kupitia Notification Panel Jinsi ya Kufungua App Yoyote Kupitia Notification Panel

Kama wewe ni kama mimi ambae kwenye simu yangu kuna apps nyingi kiasi kwamba ni lazima utumie sekunde kadhaa kutafuta app unayotaka kutumia basi njia hii inaweza kusaidia sana.

Kupitia makala ya leo nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kufungua app yoyote kupitia sehemu ya Notification.

Advertisement

Utaweza kufungua apps mbalimbali kama ambayo unawasha data na kuzima kupitia sehemu ya Notification juu ya simu yako. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye makala hii.

Hakikisha unafuatilia makala yote hadi mwisho kupitia video hiyo hapo juu, kisha hakikisha unapakua app iliyotajwa kupitia hapa au unaweza kupakua app hiyo kupitia link hapo chini.

Download App Hapa

Kama unataka kujifunza maujanja zaidi hakikisha una jiunga na channel yetu ya YouTube hapa, pia hakikisha unasoma makala zaidi kupitia hapa. Mpaka siku nyingine endelea kutembelea Tanzania Tech.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use