Sunday Movie #4 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Hii hapa Gemini Man movie nzuri ya teknolojia ya kuangalia siku ya leo
Sunday Movie #4 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili Sunday Movie #4 : Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili

Habari na karibu kwenye Sunday Movie #4, leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili hii. Movie ya leo inaitwa Gemini Man (2019).

Kwa ufupi kabisa movie hii inamuhusu Henry Brogan ambaye ni muuaji mwenye miaka 51 ambaye yuko tayari kustafu na kuacha kazi hiyo baada ya kumaliza kazi yake ya 72. Mipango yake ya kustaafu inakatishwa baada ya kutafutwa ili ku-uwawa na mtu ambaye anaweza kutabiri kila hatua yake. Kwa mshtuko wake, Brogan anakuja kujua kwamba mtu anayejaribu kumuua ni kijana mdogo zaidi, mwenye kasi, na ambaye ana fafana na yeye kila kitu mpaka sura.

Advertisement

Kama ulipitwa na movie nyingine nzuri ya kuangalia jumapili iliyopita, basi unaweza kusoma hapa kuweza kujua movie hiyo.

Download Hapa

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use