Apps Nzuri Unazoweza Kujaribu Kwenye Simu Yako ya Android

Jaribu Apps hizi ili uweze kufurahia simu yako ya Android kuanzia leo
Apps Nzuri Unazoweza Kujaribu Kwenye Simu Yako ya Android Apps Nzuri Unazoweza Kujaribu Kwenye Simu Yako ya Android

Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kuwa na simu ya Android bila kuwa apps kwenye simu yako, kwani simu ya Android bila apps ni sawa na simu simu ya kawaida. Sasa kuliona hili leo nimekuletea apps nzuri ambazo unaweza kuinstall kwenye simu yako ya Android na zikafanya ufurahie zaidi simu yako. Basi bila kupoteza muda zaidi twende tukangalie apps hizi nzuri.

Advertisement

Cheka Point ni app nzuri ya vichekesho ambayo inakusaidia kupata pesa mtandaoni na pia kuendelea kufurahia siku yako kwa vichekesho mbalimbali.

Do it later ni app nzuri inayo kusaidia kusaidia kufanya mambo mbalimbali baadae wakati utakuwa uko mbali na simu yako.

Duplicate Photos Fixer ni app nzuri itakayo kusaidia kupata pamoja na kufuta picha mbalimbali ambazo zimejirudia kwenye simu yako.

Glich Video Editor ni app nzuri itakayo kusaidia kuweka effect mbalimbali za Glich kwenye video zako kabla ya kuzupost kwenye mitandao ya kijamii.

Notifix ni app nzuri ambayo itakusaidia kupanga Notification zako kwa urahisi kulingana na aina ya Notification.

Red Box TV

Red Box TV ni app nzuri ambayo inakusaidia kuweza kuangalia TV kwa urahisi moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi ya Android.

Download Hapa

Unnotification
Price: Free+

Unnotification ni app nzuri ambayo itakusaidia kuweza kupata notification ambazo ulisahau kuzisoma kupitia simu yako ya Android.

Na hizo ndio apps nzuri ambazo nimekuandalia kwa siku ya leo, kama unataka kujua apps nyingine nzuri zaidi, basi soma hapa kujua apps nzuri zinazoweza kusaidia kuedit video vizuri kwajili ya kuweka YouTube. Kama unataka kujifunza zaidi hakikisha unatembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia YouTube hapa, pia hakikisha una subscriber ili kupata taarifa tunapoweka video mpya za mafunzo mbalimbali na njia za kupata pesa mtandaoni.

1 comments
  1. Nawakubali sanaa wazee wa Tanzania tech mnapatikan wap nije kupata maujuz zaid maan nahitaj kuwa na Kampun ipo siku Ila lazima nipambanee?????

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use