Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani

Kutana na meli kubwa kuliko zote duniani
Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani

Kama wewe ni mfuatiliaji wa tovuti ya Tanzania Tech basi lazima unajua kuwa kuna wakati tunapenda kujuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu teknolojia ambavyo yanaweza kuwa yamevunja rekodi kwa namna moja ama nyingine.

Kwa siku ya leo nimekuletea hii ya meli kubwa kuliko zote duniani, Baadhi ya meli hizi ni kubwa kuliko hata jengo refu kuliko yote duniani ambalo linapatikana nchini Dubai… Huniamini angalia video hapo chini. Natumaini utaweza kuangalia hadi mwisho..

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use