Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani 1

Video: Zifahamu Hizi Hapa Meli 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani

Kama wewe ni mfuatiliaji wa tovuti ya Tanzania Tech basi lazima unajua kuwa kuna wakati tunapenda kujuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu teknolojia ambavyo yanaweza kuwa yamevunja rekodi kwa namna moja ama nyingine.

Kwa siku ya leo nimekuletea hii ya meli kubwa kuliko zote duniani, Baadhi ya meli hizi ni kubwa kuliko hata jengo refu kuliko yote duniani ambalo linapatikana nchini Dubai… Huniamini angalia video hapo chini. Natumaini utaweza kuangalia hadi mwisho..

Previous Post
Mambo Yote Usiyoyajua Kuhusu Simu Mpya ya TECNO Phantom 9 2
Mambo Yote Usiyoyajua Kuhusu Simu Mpya ya TECNO Phantom 9
Next Post
Apps 5 Kama FaceApp za Kutengeneza Sura ya Kizee (Android & iOS) 3

Apps 5 Kama FaceApp za Kutengeneza Sura ya Kizee (Android & iOS)