Njia Nyingine ya Kutengeneza Pesa Kwa Kutumia WhatsApp

Part 2 ya njia ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia WhatsApp

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafuatilia tovuti ya Tanzania Tech basi lazima unajua kuhusu njia ya kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia WhatsApp, Sasa njia hii ya leo ni muendelezo wa njia ile ya kwanza na kama unahitaji kujua jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia WhatsApp basi nakushauri uweze kusoma makala ile ya kwanza kabla ya kusoma makala hii.

Kwa kusoma makala ile utaweza kujua njia zote za jinsi ya kutengeneza pesa kwa urahisi na pia utaweza kuelewa njia hii ya pili kwani njia hizi zote mbili zinategemeana sana.

Kama tayari umeshasoma makala hiyo sasa endelea kwenye njia hii ambayo mimi nimeweza kuitumia kupata zaidi ya dollar $40 ambayo ni takribani Tsh 90,000 za kitanzania, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii.

 

Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 8

Toa Maoni Hapa

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.