Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kubadilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama Galaxy S10

Badilisha simu yoyote ya Android kuwa kama Galaxy S10 au S10 Plus
Jinsi ya Kubadilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama Galaxy S10 Jinsi ya Kubadilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama Galaxy S10

Kama wewe ni mtumiaji wa simu yoyote ya Android basi ni lazima unajua kuwa, inachukua muda mrefu sana kwa simu za Android kuweza kupata update ambazo zinaweza kufanya simu yako kubadilika muonekano. Kutokana na hili ni wazi wengi wetu tumeshajaribu kubadilisha muonekano wa simu zetu kwa kutumia apps mbalimbali ambazo zinaweza kubadilisha muonekano wa simu zetu angalau kwa muda mfupi.

Kuliona hili hivi leo nimekuletea njia mpya na rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kupata muonekano wa simu mpya za Galaxy S10 na S10 Plus kwenye simu yoyote ya Android. Njia hii ni rahisi na inaweza kusaidia sana kupata muonekano huu moja kwa moja kwenye simu yako, basi bila kupoteza muda twende tuangalie njia hii rahisi.

Advertisement

Kama utakuwa umefuata hatua zote hizo basi najua utakuwa unaweza kubadilisha muonekano wa simu yako na kufanya iwe kama Galaxy S10. Kumbuka unaweza kupata apps zote zilizo tajwa kwenye video hapo juu kupitia links hapo chini.

LINK MAALUM
1. Download App ya AmoledWalls hapa
2. Download App ya OneUI Icons hapa
3. Download App ya Power Shade hapa
4. Download App ya Smart Launcher hapa
5. Download File la Galaxy S10 hapa

Kama kuna mahali ambapo utakuwa umekwama au hujaelewa unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya moani hapo chini, kwa maujanja zaidi unaweza kutembelea kwenye kipengele cha maujanja.

7 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use