Jinsi ya Kujaribu Apps za Android za Kulipia Bure

Unaweza kutumia njia hii kuondoa matangazo kwenye app yoyote
nunua vifurushi ndani ya app bure nunua vifurushi ndani ya app bure

Kama wewe ni mtumiaji wa simu yenye mfumo wa Android basi lazima unajua kuhusu vifurushi mbalimbali vilivyopo ndani ya Apps mbalimbali za Android.

Naposema vifurushi hapa inamaanisha (in-app purchase) au vile vifurushi ambavyo unalipia ndani ya Apps ili uweze kuondoa Matangazo au kuweza kutumia sehemu zaidi ndani ya app husika.

Sasa katika hali ya kujifunza, leo nimekuletea njia rahisi ambayo utaweza kuitumia ili kufanya malipo ndani ya Apps mbalimbali bila wewe kulipia pesa hata kidogo. Njia hii ni rahisi na itakusaidia pale utakapo kuwa unataka kujaribu app fulani kabla ya kufanya uamuzi wa kununua moja kwa moja.

Advertisement

Kwa kuanza unahitaji kuwa na simu yako ya Android, pia unahitaji kuwa na internet angalau MB 200 kwaajili ya ku-update na kudownload app inayotumika kwenye maujanja haya. Kama tayari unavyo vitu vyote hivi basi endelea kwenye hatua zinazofuata.

Kwa kuanza ni muhimu kudownload app kupitia link hapo chini, kisha install vizuri app hiyo kisha baada ya hapo endelea kwa kufuata maelezo hapo chini kujua jinsi ya kunua vifurushi vilivyopo ndani ya app yoyote.

Download App Hapa

https://www.youtube.com/watch?v=9yQAcK1Dj_4

Kwa kufuata hatua hizo hapo juu utaweza kununua vifurushi vilivyopo ndani ya app mbalimbali za Android bila kulipia kwa namna yoyote.

Kama kuna mahali umekwama unaweza kuuliza swali lako kupitia sehemu ya maoni hapo chini, kwa maujanja zaidi hakikisha unendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

10 comments
        1. Ndio kuna baadhi ya apps njia hii haifanyi kazi, hii inatokana na app hizo kutumia api ambao zikibadilika app husika haifanyi kazi.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use