WhatsApp Kuacha Kufanya Kazi Kwenye Simu Hizi (2019)

Baadhi ya iPhone nazo pia kutokuwa na uwezo wa ku-support WhatsApp
WhatsApp kushindwa kufanya kazi WhatsApp kushindwa kufanya kazi

Mwaka 2019 ndio umeanza rasmi, hii inaonyesha mwanzo wa vitu vyote ikiwa pamoja na mwanzo wa programu ya WhatsApp kuacha kufanya kazi kwenye baadhi ya simu za zamani. Hili sio jambo jipya sana, kwani huu umekuwa ni utaratibu wa WhatsApp kila mwaka kutangaza kuacha kufanya kazi kwenye baadhi ya simu za zamani.

Mwaka huu listi ya simu hizo imeongezwa kidogo pia vilevile ikiwa na baadhi ya simu za iPhone zenye mfumo wa zamani wa iOS. Kwa mujibu wa tovuti ya The Sun, ifuatayo ndio list ya simu kwa mwaka huu 2019, ambazo zinasemekana kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi kwenye programu ya WhatsApp kuanzia tarehe 31 desember 2018.

Advertisement

List ya Simu Ambazo Hazitakuwa na Uwezo wa Kutumia App ya WhatsApp

  • Nokia 208
  • Nokia 301
  • Single SIM and dual SIM Chat Edition
  • Nokia 515 Preinstalled WhatsApp
  • New Nokia Asha 201
  • Nokia Asha 205 Chat Edition
  • Nokia Asha 210
  • Nokia Asha 230 Single SIM and dual SIM models
  • Nokia Asha 300
  • Nokia Asha 302
  • Nokia Asha 303
  • Nokia Asha 305
  • Nokia Asha 306
  • Nokia Asha 308
  • Nokia Asha 309
  • Nokia Asha 310
  • Nokia Asha 311
  • Nokia Asha 500
  • Nokia Asha 501
  • Nokia Asha 502
  • Nokia Asha 503
  • Nokia C3-00
  • Nokia C3-01
  • Nokia X2-00
  • Nokia X2-01
  • Nokia X3-02
  • Nokia X3-02.5
  • Nokia 206 Single SIM na dual SIM models

Vilevile inasemekana simu za Android ambazo zitakuwa zinatumia mfumo wa Android 2.3.7 kushuka chini zitashindwa ku-support programu ya WhatsApp kuanzia mwaka 2020, Pia ripoti hiyo inasema kuwa simu zote iPhone zinazotumia mfumo wa iOS 7 pia hazitakuwa na uwezo wa ku-support programu hiyo ifikapo mwezi February mwaka 2020.

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use