Kampuni ya Google hivi karibuni imetangaza kuzindua simu yake mpya ya Google Pixel 3, Angalia hapa mubashara uzinduzi wa simu hizo moja kwa moja kutoka nchini marekani. Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu hizi za Google Pixel unaweza kusoma hapa makala yetu iliyotangulia.