Siku za karibuni kumekuwa na sinto fahamu kuhusu ving’amuzi kuweza kuonyesha chaneli za ndani. Hivi leo kupitia tovuti ya millard ayo, Waziri wa Habari ametoa ufafanuzi kuhusu sinto fahamu hiyo. Kupitia tovuti ya millard ayo huu hapa ndio ufafanuzi uliotolewa na waziri huyo wa habari Tanzania.