Jinsi ya Kutengeneza Website (Tovuti) Buree Asilimia 100

Hutolipa kitu chochote na utapa domain yenye jina lako unalolipenda
Jinsi ya kutengeneza website Jinsi ya kutengeneza website

Linapokuja swala la kuanzisha twebsite au tovuti iliyo bora ni wazi kuwa gharama ni kubwa sana tena hasa kama unataka kuwa na tovuti yenye muonekano mzuri na yenye kufanya kazi vizuri. Lakini ni wazi kuwa kwa hapa Tanzania sio kila mtu mwenye uwezo wa kuanzisha website kwa kutumia pesa nyingi, hivyo ni wazi kuwa kunaitajia njia ya ziada kuweza kusaidia kila mmoja kuanzisha website bila kutumia gharama yoyote.

Kuwezesha hayo leo Tanzania Tech tunakuletea njia nzuri sana ya kuweza kukusaidi kutengeneza website bure kabisa bila kutumia gharama yoyote. Vilevile njia hii itakusaidia kuanzisha website au tovuti, yaani utakuwa na uwezo wa kuwa na domain yako yenye jina unalolitaka na hutolipia domain hiyo wala hutolipia gharama zingine zozote, kikubwa ni wewe kuwa na Internet na kufuatilia makala hii hadi mwisho.

Advertisement

Kumbuka njia hii unaweza kutumia kutengeneza website kwaajili ya biashara au kama ni website au tovuti ya habari kama Tanzania Tech, unaweza kufanya hivyo pia. Kitu cha muhimu ni kuhakikisha unachagua template nzuri ambayo itafanya website yako iweze kuonekana vizuri. Unaweza kusoma makala hii hapa ili kujua jinsi ya kuweka templent pamoja na kupata Template hizo za bure.

Baada ya njia hii nitaenda kuonyesha njia ya kutengeneza App kwaajili ya hiyo tovuti yako, njia hiyo itaitaji kuwa na programu ya Android Studio hivyo basi kama ungependa kujifunza maujanja hayo unaweza kupakua programu hiyo kwaajili ya somo au maujanja yanayofuata. Hakikisha una subscribe kwenye channel ya Tanzania Tech ili kuhakikisha hupitwi na maujanja hayo.

25 comments
  1. Naipenda sana app yetu na kila mara lazima nipite kuona habari mpya.

    Nimejifunza mengi sana hapa

    Mubarak

  2. kimsingi nimependezwa na TANZANIA TECH na kuanzia sasa nitakua nafatilia mara kwa mara ili kujua habari mpya

  3. Nahitaji website ya kibiashara kuweza kuweka nyimbo na vitu vingine je mnaweza kunitengenezea kwa gharama IPI hadi ionekane mitandaoni na iniingizie kipato alaf je kwa sheria za kumiliki website,YouTube Chanel na blog itanitakaje? Shukran

  4. Napenda kutambua ubora wa website ya bure,Je kuna utofauti gani kati ya website(tovuti) ya bure na yenye kutumia pesa?

  5. watanzania ni wagumu kuelewa sana hakikisha mnatupa step zote za kutengeneza hiyo website ya bure pia group hili nimelipenda ikiwezekana mniunge na mimi ili kupata maujanja zaidi

  6. Safi kwa elimu hii, nauliza kwenye domain unaweka miezi 12, je hiyo miezi ikifikia unatakiwa utengeneze domain nyingine au unaendelea kutumia hiyo hiyo muda wote?

  7. Sory nauliza mbona nasikia kuna hasara zinazoweza kutokea kwa kutumia hawa domain na host wa bure naomba kujulishwa hizo hasara ni zipu pls as mm sizijui ndo nataka kutengeneza hvyo naomba nielewe kila kitu vizuri kabsa kabla ya kuamua kuzitumia. thanks

  8. Naomba kuuliza mtu akimiliki accout mfano youtube kuposti matangazo atawezaje kulipwa na pia atalipia kiasi gani na kwa muda gani

  9. Naomba kuhuungwa na kuwa mmoja wenu katika kujua ujuzi na kujifunza mengi jina langu ni athanaery japhet nipo bukoba

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use