Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Tanesco Yafafanua Kuhusu Kununua Umeme Kwenye Simu

Ufafanuzi tozo ya asilimia 1.1 wanayokatwa wateja baada ya kununua umeme
Nunua umeme LUKU Nunua umeme LUKU

Hivi karibuni tuliskia kuhusu Mtandao wa Vodacom kujitoa kwenye huduma ya kununua Umeme LUKU kupitia MPESA, lakini kujitoa huko hakukudumu kwani baadae kampuni ya Vodacom Tanzania ilitoa tamko na kusema itaendelea na huduma hiyo na badala yake kutakuwa na ongezeko la malipo ya kupewa huduma hiyo ya LUKU ambayo yatakuwa asilimia 1.1.

Sasa basi, kumekuwa na mkanganyiko kuhusu ongezeko la asilimia hizo 1.1 na hivi leo Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limezungumzia na kutoa ufafanuzi kuhusu tozo ya asilimia 1.1 wanayokatwa wateja baada ya kununua umeme kwa njia ya mitandao ya simu na pia kwa kupitia kwa mawakala wa benki.

Advertisement

 

3 comments
  1. TUNARISHUKURU SHIRIKA KWA HUDUMA ZAKE TZ, JAPO MATATIZO MADOGO MADOGO YAPO,YA KUKATIKA UMEME BIRA TARIFA,WILAYA MBARALI UNAKATIKA SANA,KASORO HIZO SHIRIKA IZIMALIZE WATEJA TUFURAHI.

  2. Ni mda gani Mteja anatakiwa atoe malalamiko baadae ya kulipia huduma ya service line kama itacheleweshwa

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use