Shinda Vocha ya Tsh 10,000 kwa Kutembelea Tanzania Tech

Tembelea Tovuti Yetu Kujishindia Vocha ya Shilingi Elfu 10,000

Habari na karibu kwenye shindano la kwanza la kusambaza upendo kupitia Tanzania Tech, Hapa utaweza kujishindia vitu mbalimbali lakini leo kwa kuanza tuna anza na zawadi hii ndogo ya Vocha ya shilingi elfu kumi kwa wasomaji wetu wa tovuti na App ya Tanzania Tech wa hapa nchini Tanzania Pekee.

Hapa washindi wawili wataweza kujishindia vocha za shilingi elfu kumi kila mmoja na mshindi atatangazwa hapa hapa Tanzania Tech. Muhimu ni kuhakikisha kuwa unafuta vigezo na mashari na kuhakikisha unafanya hatua zote hapo chini bila kusahau kuchukua point za Bonus kila siku kwa kutembelea ukurasa huu au ukurasa wa zawadi kwako unapo patikana hapo chini.

Kuendela kushiriki hakikisha una fuata ukurasa wetu wa Facebook na Twitter ili kupata taarifa zaidi kuhusu mashindano mengine yajayo. Tutaukuwa tukitoa zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na simu mpya, kompyuta au zawadi nyingine mbalimbali. Bila kusahau mshindi atatangazwa siku ya Jumamosi ya tarehe 21 mwezi wa nne mwaka huu 2018, Karibu ushiriki sasa.

Shinda Vocha ya Shilingi Elfu 10,000

Tanzania Tech

Follow Tanzania Tech

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 15

Toa Maoni Hapa
  1. Kiukweli hii page naipenda kupita maelezo sababu inatoa mamb ambay ni mazuri na bora katika duniani ya sayansi na taknolojia

  2. app nzuri na elimisha sana,twaomba kujua njia za kushiriki au kujua km upo kwenye shindano la zawadi ya vocha

    • Kasanda, njia za kushiriki ni kama hizo hapo juu fuata hatua hapo juu utaweza kuingia kwenye shindano moja kwa moja. Pia usisahau kuchukua pointi zako za kila siku.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako