in

Jinsi ya Kuangalia Bure Channel za DSTV Kupitia Simu ya Mkononi

Utaweza kuangalia channel mbambali kupitia simu yako ya mkononi

kuangalia dstv kwenye simu

Karibuni kwenye maujanja leo nitaenda kuwaonyesha jinsi ya kuangalia channel zote za kwenye kingamuzi cha DSTV kupitia simu yako na bila kulipia gharama yoyote zaidi ya kuwa na simu yako ya yenye mfumo wa Android.

Kwa kuanza basi ni vyema ukajua kua channel za Tanzania na Afrika mashariki kama magic bongo na nyingine kama hizo hutaweza kuziangalia kupitia maujanja haya, lakini kama wewe ni mpenzi wa michezo, filamu na mengine mengi basi utaweza kufurahia maujanja haya.

Kwa kuanza ni lazima uwe unatumia simu ya Android na kama tayari unatumia simu ya Android, basi moja kwa moja anza kwa kupakua na install App hii ya RedBox TV Hapa, kumbuka App hii haipatikani kwenye soko la Play Store hivyo ni lazima uipakue kupitia hapo juu. (ANDIKA LINK HII bit.ly/1pakua KWENYE BROWSER YAKO)

Baada ya kudownload na kuinstall App hiyo, sasa ingia kwenye soko la Play Store kisha pakua App ya MX Player kisha install kwenye simu yako vizuri, unaweza kupakua app hiyo kupitia hapo chini.

Jinsi ya Kubadilisha WhatsApp Voice Kuwa Ujumbe wa Maandishi
MX Player
Price: Free

Baada ya kupakua na kuinstall vizuri App zote mbili, fungua App ya RedBox TV kisha utaona channel nyingi tofauti ambazo unaweza kuangalia kwa kubofya nembo ya Channel unayopenda, kumbuka channel hizi zinatumia internet kwenye simu yako hivyo ni muhimu kukumbuka kununua bando kabla ya kuanza kuangalia channel hizo.

Natumaini maujanja haya yame kusaidia, kama una swali au kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kwenye maoni hapo chini, vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 22

Toa Maoni Hapa
  1. Naomben msaada hiv nataka kijua sms zinazoingia kweny simu ya mpenz Wang ni application gan nitumie ili kumpsay yeye

  2. Maoni* naitwa savyo.y.msigwa mtandao unajitaidi sana ila unakataha kwenye youtube kwenye sim za kawahida kwanini msiboreshe hata sisi wenye hali zakawaida tukawa tunafaidi

  3. ipo vizur naomba nijibu kwa imail
    ni app iv unaweza kutumia kwenye computer kurushia matangazo kwenye cable kama tv chanel

  4. Maoni*samahani pia hongera kwa utendaji mzuri was Nazi zenu,..ninatamani kujiunga na apo ya dstv kwenye simu yangu ya mkononi lakini nashindwa….naomba mnisaidie tafadhari

  5. Nataka maelekezo ya kujiunga na DStv kwenye simu yang naangaika kwenye kujiunga kwenye jina na password pananiehinda

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.