in

Game Bora Zinazotegemewa Kuja Mwaka 2018 Kwenye PS4

Jiandae na game hizi mpya zinazotegemewa kutoka siku za karibuni

game mpya

Tayari tuko katikati ya mwezi huu wa kwanza na sasa kampuni mbalimbali za utengenezaji wa game ziko tayari kukonga nyoyo za wapenzi wake kwa game mpya ambazo pengine zitaufunga mwaka 2018 zikiwa game bora za mwaka huu.

Leo Tanzania tech tunakuletea list ya game hizo ambazo zinategemewa kutoka siku za karibuni kupitia vifaa vya video game za Playstation 4 au PS4.

  • World War Z

Tarehe ya Kutoka : 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Saber Interactve/Paramount Pictures

  • Monster Hunter: World

Tarehe ya Kutoka : 26 January 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Capcom

  • Shadow of the Colossus

Tarehe ya Kutoka – 6 February 2018
PS4 exclusive: Yes
Publisher: Sony Interactive Entertainment

  • Ghost of Tsushima

Tarehe ya Kutoka – Miezi ya karibuni
PS4 exclusive: Yes
Publisher: Sony Interactive Entertainment

  • Beyond Good And Evil 2

Tarehe ya Kutoka : 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Ubisoft

Sasa Download (GTA V) Grand Theft Auto V Bure Bila Kulipia

Game hizi zina tegemewa kuja siku za karibuni, kwenye mfumo wa PS4 pamoja na baadhi ya mifumo ya PC pamoja na Xbox. Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App yetu mpya ya Tanzania Tech kupitia Play Store na vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 5

Toa Maoni Hapa

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.