Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Angalia Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya za Google Pixel 2

Angalia hapa uzinduzi wa simu mpya kutoka kampuni ya Google
Google Pixel 2 Google Pixel 2

Kama wewe ni mfuatiliaji wa kampuni ya Google lazima utakua unajua kuwa leo ndio ile siku ambayo kampuni hiyo inatoa toleo la pili la simu zake mpya za Google Pixel 2.

Mbali na uzinduzi wa simu hizi tunategemea kujua mabadiliko mengine mbalimbali ya huduma za Google ambazo ndio zinatumiwa na asilimia kubwa ya watu. Tunategemea kusikia mabadiliko ya mfumo mpya wa Android (Android 8 Oreo) ambao umetangazwa hivi karibuni na kampuni hiyo.

Advertisement

Vile vile tunategemea mabadiliko ya simu hizo za Google pixel ambazo zinasemekana zitakua ndio za kwanza kutumia mfumo huo wa Android 8 Oreo, kujua yote yatakayo jiri karibu tujiunge wote kutazama Event hii Mubashara kabisa kutoka marekani.

Kwa habari zaidi za Google endelea kutembelea Tanzania Tech nasi tutakujuza yote mapya, pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka zaidi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use