in

Hii Ndio Simu Mpya ya Samsung Galaxy Note 8 iliyozinduliwa Leo

Simu mpya ya Note 8 ndio hii hapa ifahamu kidogo..

Tayari simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8 imeshazinduliwa rasmi na Tangazo lake rasmi limesha toka rasmi. Wakati tamasha la kuelezea simu hiyo likiendelea nimeona nikuwekee hii kwanza wakati tukiendelea kuweka yote mapya yatakayo jitokeza kwenye tamasha hili.. endelea kuwa nasi.

Makala hii itaongezwa hivyo endelea kutembelea hapa kujua mengine mengi yanayohusu simu hii mpya ya Galaxy Note 8. Pia unaweza kuangalia tamasha la uzinduzi mubashara kabisa kupitia HAPA.

Kwa sasa simu hii itanza kupatikana hivi karibuni na kama unataka kuijua zaidi simu hii SOMA SIFA ZA GALAXY NOTE 8 KUIJUA ZAIDI.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya iPhone SE (2020)
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.