Video Nyingine Yenye Kuonyesha Vizuri Samsung Galaxy S8

Video nyingine imevuja ikionyesha vizuri muonekano wa Samsung Galaxy S8
Samsung Galaxy S8 Samsung Galaxy S8

Siku chache zimebaki mpaka kuzinduliwa kwa simu mpya ya samsung galaxy s8, lakini kukaribia kutoka kwa simu hiyo haku maanishi simu hiyo itaacha kuonyeshwa kwenye picha mbalimbali mitandaoni. Hivi karibuni kumevuja video yenye kuonyesha vizuri baadhi ya sifa na muonekano wa simu hiyo kwa ujumla.

Video nyingine iliyovuja ikionyesha simu mpya ya Samsung Galaxy S8, video hiyo inaonyesha finger print ya simu hiyo ikiwa juu ya kioo na sio kwenye kibonyezo cha katikati kama tulivyo zoea. Kwa habari zaidi tembelea Tanzania Tech kwa kubofya link kwenye bio au tafuta kwenye google “Tanzania Tech”.

A post shared by Tanzania Tech (@tanzania_tech) on

Advertisement

Simu hiyo imeonekana kwenye video hiyo ikiwa na sensor kwenye kioo na sio kwenye kitufe cha katikati kama ilivyozoeleka. Simu hiyo pia imeonekana kuwa na screen kubwa isio na makava ya plastick kwa juu na chini endelea kutembelea Tanzania Tech kujua zaidi.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use