Sasa WCB Wasafi Kuleta App ya Wasafi Kupitia Soko la Play Store

Sasa utaweza kupata nyimbo zote kutoka tovuti ya Wasafi.com kwenye App ya Android
wasafi.com wasafi.com
PICHA NA DIAMOND PLATNUMZ

Siku chache baada ya kampuni ya wcb wasafi kuzindua tovuti ya wasafi.com, sasa kampuni hiyo imerudi tena leo kwa kuzindua programu ya Android ya Wasafi. Programu hiyo ambayo sasa inapatika kwenye mfumo wa Android ni njia rahisi ya kupata nyimbo za wasani kutoka ndani na hata nje ya Tanzania.

Kwa mujibu wa mtandao wa Alexa toka tovuti hiyo ilipo zinduliwa Mar 10, 2017 mpaka sasa tovuti ya wasafi ni namba 89 kati ya tovuti zinazo tazamwa sana kwa hapa Tanzania, huku kwa dunia nzima ikiwa ni tovuti ya 216,399 yakiwa ni mabadiliko makubwa sana kwa siku chache ambapo tuvuti hiyo imeingia kwenye mtandao. Kwa sasa tovuti ya wasafi.com inayo wasanii 27 kutoka ndani na nje ya Tanzania wasani hao wakiwa ni

  • Anania Mwasomola
  • Young Killer
  • Q Chief
  • Tekno
  • Shetta
  • Akil The Brain
  • Savyee
  • The industry
  • Willy Paul
  • Hope Mwamakula
  • Timbulo
  • Ray C
  • Dulla Makabila
  • Tanayzer
  • Bill Nass
  • Barnaba Classic
  • Professor J
  • Belle 9
  • Navy Kenzo
  • Mrisho Mpoto
  • Kassim Mganga
  • Chege & Temba
  • Queen Darleen
  • Rich Mavoko
  • Ray Vanny
  • Harmonize
  • Diamond Platnumz

Kwa sasa unaweza kudownload App ya Wasafi kupitia Play Store au unaweza kubofya hapo chini na utapelekwa moja kwa moja kwenye Play Store ili kudownload App hiyo.

Advertisement

Wasafi
Price: Free

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use