ZoomTanzania Yashinda Tuzo ya Tovuti Bora kwa Mwaka 2016

Tovuti ya zoomtanzania imechaguliwa na kushinda kuwa tovuti bora
ZoomTanzania ZoomTanzania

Kuanzisha biashara kunahitaji umakini pamoja na kujituma ndio maana hivi karibuni kampuni ya ZoomTanzania kupitia tovuti yake ya zoomtanzania.net imeonekana kuwa na yote hayo baada ya kushinda tuzo ya tovuti bora kwa mwaka 2016, hii ikiwa ni mara ya pili mfululizo kwa kampuni hiyo kushinda tuzo hiyo baada ya kushinda tena tuzo hiyo mwaka 2015.

Katika tuzo hizo za Tanzania Leadership Awards zilizotolewa na kuandaliwa na kampuni ya Purple Cow Media Limited zoomtanzania ilipata tuzo hiyo pamoja na makampuni mengine yalio onekana kuleta mabadiliko pamoja na kufanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali hapa Tanzania. Hii ndio list ya washindi hao kama ilivyo andikwa na mtandao wa zoomtanzania.

  1. Category: Best place to work
    Winner: Smart Codes
  2. Category: Innovative company of the year
    Winner: E-Fm Radio
  3. Category: Domestic airline of the year award
    Winner: Coastal Aviation
  4. Category: NGO of the year
    Winner: GSM Foundation
  5. Category: Telecom company of the year
    Winner: Tigo Tanzania
  6. Category: Restaurant of the year
    Winner: Cape Town Fish Market.
  7. Category: Hotel of the year
    Winner: Hyatt Regency Hotel
  8. Supermarket of the year
    Winner: Food Lovers Market
  9. Category: TV Channel of the Year
    Winner: Azam TV
  10. Category: Website of the year
    Winner: ZoomTanzania

Tuzo hizo za Tanzania Leadership Awards zilifanyika siku ya ijumaa ya tarehe 27 mwezi January mwaka huu 2017 kwenye hoteli ya Hyatt Regency Hotel hapa Dar es salaam, Tanzania.

Advertisement

Kuwa wakwanza kupata habari za teknolojia kwa kudownload App ya Tanzania Tech kupitia Play Store pia unaweza kujiunga na channel yetu ya youtube ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya Video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use