LG jana ilifanikisha kutangaza simu yake mpya ya LG G6 simu hiyo ilikuja kwa aina ya tofauti ikiwa na kioo chenye teknolojia ya kisasa na bora zaidi. Kwa wale walio angalia uzinduzi wa simu hiyo basi utakuwa unajua muonekano pamoja na ubora ambao LG G6 inayo.
LG G6 inakuja na teknolojia mbalimbali kwenye kioo chake kama HD10 ambayo ni teknolojia inayotumika kwenye TV za LG simu hii pia inakuja na uwezo wa kuzuia kuingia maji water rest pamoja na sifa nyingine nyingi.
Sifa za LG G6
- Battery 4200 mAh
- Camera Features Optical image stabilization plus, Dual LED, geo tagging, facial recognition, 3D front and back camera element, auto laser focus
- Camera – Front 7.0 Megapixels
- Camera – Rear 24 Megapixels
- Colors Black, Blue, Copper, Gold, White
- Features Bendable display, Corning Gorilla Glass 4, 4G LTE, Bluetooth 5.0, fingerprint scanner, retina eye scanner, wireless charging, rapid charging, waterproof, mini projector, stylus
- Memory 32, 64, and 128 GB internal memory and expandable to 128 GB with dual micro SD cards
- Operating System Current Android 6.0 Operating System
- Price $750 USD, 688 Euro
- Processor Snapdragon Qualcomm Octa-core 3.0 GHz processor
- RAM 5 GB RAM
- Release Date September 2017
- Screen Display 5.6” 4K display with a 4096 x 2160 screen resolution
Simu hii mpya ya LG G6 Inategemewa kutoka kwa muda tofauti kwa kila nchi kwa hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla tegemea kuiona kuanzania mwezi May Mpaka June (mwezi wa Tano mpaka wa sita). LG G6 ni moja kati ya simu zenye sifa bora pengine kuliko simu zingine kutoka kampuni hiyo kwa sasa.
Kwa Habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku au download App ya Tanzania Tech kupitia Play Store, pia usasahau kama unataka habari kwa njia ya Video hakikisha unajiunga nasi kupitia channel yetu ya Tanzania Tech kwenye mtandao wa Youtube.