Matukio Yote Yaliyojiri Jana Kwenye Mkutano wa CES 2017

Matukio yote ya ufunguzi wa mkutano wa CES 2017

Jana kulifanyika ufunguzi wa mkutano wa teknolojia wa CES 2017 angalia hapa matukio yote na matangazo yote ya mkutano huo kwa siku ya jana makampuni ya LG Electronics, Panasonic, Samsung, Sony, Intel na mengine yalifanya uzinduzi wa bidhaa mbalimbali.

Ili kujua zaidi kuhusu mkutano huu wa CES 2017 ambao utaendelea mpaka mwishoni mwezi wa pili enedelea kutembelea sehemu maalumu ya mkutano kwa kubofya kwenye menu hapo juu. Unaweza kupata habari kwa urahisi kupitia App yetu ya Tanzania Tech inayopatikana Play Store.

SOMA PIA  Kampuni ya Google Yatangaza Huduma Mpya ya Youtube TV

Written by Ttech Team

Ttech Team

Tanzania Tech ni Mtandao wa Teknolojia wenye Lengo la kufikisha kwa urahisi habari, ufahamu na mafunzo ya Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania kwa lugha ya Kiswahili.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako