Mpaka sasa tumesha ona simu inayoshwa kwa sabuni, simu inayo endeshwa bila kuigusa pamoja nyingine nyingi ambazo hata bado hatuja ziandika hapa Tanzania Tech, yote hayo yakiwa yanadhihirisha na kuonyesha njia tunayo elekea kwa upande mzima wa teknolojia ya simu za mkononi. Ndio maana leo Tanzania Tech tunakuletea list ya simu ambazo zinatarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu wa 2017, yote haya ikiwa ni kukufahamisha na kukuhabarisha nini kinafuata kwa upande mzima wa teknolojia ya simu za mkononi.
HTC U Ultra
Mambo hayakuwa mazuri kwa kampuni ya HTC mwaka 2016, pamoja na nguvu kubwa iliyowekwa na kampuni hiyo kuhakikisha inafanikiwa lakini bado ilikua ni ngumu. Mwaka huu kampuni ya HTC inakuja na HTC U Ultra, simu hii inategemewa kutoka mwanzoni mwa mwaka huu wakati tukisubiria HTC 11 inayotarajiwa kutoka baadae mwaka huu. HTC U Ultra inategemewa kuwa mkombozi wa kampuni hiyo kwa mwanzo wa mwaka huu lakini only time will tel..!
Sifa Zinazotegemewa HTC U Ultra
- 5.7-inch Super LCD5 display with Quad HD resolution
- 2.15 GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 821 processor
- 4GB of RAM
- 64/128GB of on-board storage, microSD card expansion up to 2TB
- 12 MP HTC Ultrapixel 2 camera, 16MP front camera
- Non-removable 3,000 mAh battery
- Android 7.0 Nougat with Sense
- 162.41 x 79.79 x 3.6-7.99mm, 170g
Nimependa sana uchambuzi wenu endeleeni kutupa habari na matukio yote ya teknolojia.
Asante Sana Issa Endelea Kutembele Tanzania Tech kila siku.
Nimependa habari zunu nu za uhakika na ukweli undeleeni big up
Asante sana Aniset
Nimependa sana uchambuzi wenu. Asante
Asante sana Mary
zitakuwa zinapatikana kwa shiling ngapi?