Video 10 Zilizoangaliwa sana Kwenye Facebook Mwaka 2016

Hizi ndio video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa jamii wa Facebook ndani ya mwaka 2016

Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa youtube kwa mwaka huu wa 2016, leo tukotayari kukueletea live video zilizoangaliwa sana kwenye mtandao wa kijamii wa facebook. List hii imetolewa na facebook hapo juzi.

1.Candace Payne, Chewbacca Mom

2.Ted Yoder, Soundscapes

3.Buzzfeed, Countdown to the next presidential election

4. Atlanta Buzz, People are lining up to hug police officers in Dallas

5. NBC News, Election results

6. Under the Hood, Video of a truck completely carved out of wood

7. Viral Thread, Population count from US to CA

8. CNN, Election results on Empire State building

9. Dena Blizzard, Pokemon Go for moms “Chardonnay Go”

10. Super Deluxe, Election map

Na hizi ndio video zilizo ongoza kwa kuangaliwa sana kwenye facebook mwaka huu 2016, kwa kuangalia 10 bora nyingine mwaka huu shuka mpaka mwisho wa ukurasa huu, pia kumbuka endelea kutembelea Tanzania tech kwa habari zaidi za teknolojia au unaweza kudownload App ya Tanzania tech kwenye Play Store ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka.

Tanzania Tech

Follow Tanzania Tech

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako