Video 10 Zilizoangaliwa Sana Kwenye Youtube Mwaka 2016

Mtandao wa Youtube umetangaza list ya Video kumi (10) zilizoangaliwa sana Mwaka 2016

Kwa mara nyingine tena baada ya kuangalia tovuti 10 za tanzania zilizotembelewa sana, Leo tunakuletea video 10 zilizoangaliwa sana duniani kupitia mtandao wa Youtube. List hii imetolewa leo na mtandao wa youtube.

1. Adele Carpool Karaoke 136,821,649 views

2. Pen-Pineapple-Apple-Pen/PIKO-TARO  96,677,428 views

3. What’s inside a Rattlesnake Rattle?  60,233,043 views

4. Nike Football Presents: The Switch ft. Cristiano Ronaldo, Harry Kane, Anthony Martial & More  57,493,303 views

5. Grace VanderWaal: 12-Year-Old Ukulele Player Gets Golden Buzzer – America’s Got Talent 2016  46,835,776 views

6. Water Bottle Flip Edition | Dude Perfect  42,488,850 views

7. Channing Tatum & Beyonce’s “Run The World (Girls)” vs. Jenna Dewan-Tatum’s “Pony” | Lip Sync Battle  37,013,536 views

8. Donald Trump: Last Week Tonight with John Oliver (HBO) – 30,870,992 views

9. THE $21,000 FIRST CLASS AIRPLANE SEAT – 27,008,294 views

10. Brothers Convince Little Sister of Zombie Apocalypse – 22,069,419 views

Na hizi ndio video zilizongoza kwa kuangaliwa sana mwaka huu 2016, kwa kuangalia 10 bora nyingine mwaka huu shuka mpaka mwisho wa ukurasa huu, pia kumbuka endelea kutembelea Tanzania tech kwa habari zaidi za teknolojia au unaweza kudownload App ya Tanzania tech kwenye Play Store ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka.

Tanzania Tech

Follow us @Tanzania Tech

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 2

Toa Maoni Hapa
Akaunti yako ya Google inatumika kutoa Maoni (Vigezo na Masharti Kuzingatiwa)

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.