in

Sasa Angalia Matukio yako ya Mwaka Kupitia Facebook

Facebook kukuwezesha kuangalia matukio ya mwaka mzima kupitia mtandao wake

Mtandao wa facebook kwa mara nyingine tena unakuletea namna ya kuangalia matukio yako yote ndani ya mwaka mzima, facebook kupitia mtandao wa facebook inakuwezesha kuangalia matukio hayo ambayo ni yale yaliotokea kwenye mtandao wake huo yani facebook.

Kwa kutumia mtandao huo yani facebook, utapata uwezo wa kutengeneza video fupi ambayo itaweza kukusanya matukio muhimu ya mwaka huu na kutengeneza video fupi ambayo utaweza kushare na ndugu na marafiki.

Facebook imekua na utaratibu huu kila mwisho wa mwaka wa kuleta sehemu hii ili kukumbusha matukio yako muhimu ya mwaka mzima kwenye mtandao huo. Kama unataka kutengeneza video yako unaweza kufanya hivyo kwa kubofya link hii facebook.com.yearinreview na utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa maalum ili kutengeneza video yako.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Mkutano wa MWC 2020 Watangazwa Kusitishwa kwa Mwaka Huu
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.