Ni siku chache zimepita tangu samsung ilipotangaza toleo la simu yake ya samsung galaxy s7 yenye rangi ya coral blue, kutokana na pendekezo la watu hapo jana kampuni hiyo imethibitisha kuwa sasa samsung galaxy s7 imeongeza rangi nyingine tena kwenye toleo hilo.