in

Hizi Ndio Simu Bora za Android za Kununua Mwaka 2016

Kama ulikua unatafuta simu ya kununua yenye kutumia Android basi hii ni ndio list ya simu bora za kununua kwa mwaka 2016

Huawei Mate 9

Huawei Mate 9 ni simu mpya kabisa kutoka kampuni ya Huawei, simu hii ni bora sana kuwa nayo hasa kama wewe ni mpenzi wa simu za android. Simu hii imetengenzezwa kwa sifa nyingi mpya na bora za mwaka huu 2016. Simu hii mpya kutoka huawei ni moja kati ya simu bora sana za mwaka huu, hivyo ni vyema kuitafuta pale itakapo ingia sokoni hapa Tanzania.

BEI TZS 1,700,000

Jiandae na Smartphone Hizi Mpya Mwezi Huu wa Tano (2019)
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.