in

Jinsi ya Kutumia Whatsapp Mbili Kwenye Simu Moja

Ili uweze kutumua whatsapp nilazi uhakiki namba yako hivyo inakua ni ngumu sana pale unapo taka kutumia namba mbili kwenye akaunti moja ya whatsapp, lakini leo tanzania tech tunakuletea namna hii rahisi ya kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako hiyohiyo moja.

Moja kwa moja kwa kuanza basi unatakiwa tu kuwa na bando lako ambalo sio chini ya MB 50 na pia hakikisha kuwa unatumia simu yenye mfumo wa android pia hakikisha simu yako inakubali kufanya install ya programu kutoka nje ya Play Store, ili kuwezesha simu yako nenda katika “Settings” kisha “Security” alafu weka tiki kwenye sehemu iliyoandikwa “Unknown sources” baada ya hapo hutakua uko tayari kupakua programu yako ya whatspp.

Bofya link hii hapa WhatsApp 2 kisha pauka na install progarmu hiyo kwenye simu yako, kisha weka namba yako nyingine unayotaka kutumia baada ya hapo utakua umewezesha simu yako kutumia akauti mbili za whatsapp zenye namba tofauti.

Jinsi ya Kuwasha Muonekano wa Giza Kwenye WhatsApp

Kama una maoni ushauri au kama kuna mahali umekwama usisite kutuandikia comment yako na tutakujibu fasta kabisa bila kupoteza muda usisahau kupitia Page ya Facebook ya Tanzania tech ili uweze kujifunza mengine mengi yahusuyo teknolojia.

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 6

Toa Maoni Hapa

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.