Jinsi ya Kubadilisha Staili ya Maneno Kwenye Whatsapp

Jifunze Jinsi ya Kubadilisha Aina ya Maneno kwenye Programu ya Whatsapp
kubailifont kubailifont

Kuna baadhi ya namna mbalimbali ambazo ziko zimefichwa kwenye programu yako ya whatsapp kama ilivyo programu nyingine kama facebook messenger na nyinginezo, kwa leo tanzania tech tunaenda kukuonyesha namna ya kuandika maneno kwa staili kama vile maandishi yaliokolea maandishi yalio lala kama mcharazo na kufuta kitu ama kupigia mstari kwenye maneno.

Basi ili uanza unaitajika kuwa na toleo jipya la whatsapp kuanzia toleo la 2.12.535 na kuendelea ili kuweza kufanya trick hizi ni vyema ukawa na toleo hilo nililolitaja awali, baada ya kuhakiki kama unalo toleo jipya basi moja kwa moja fungua whatsapp yako kisha nenda kwenye jina la mtu unaetaka kuchat nae kisha anza kwa kuandika hivi.

Advertisement

  • Ili kuandika maneno kwa kukolea yani (Bold) anza kwa kuandika *maneno yako* hapo utaona manrno yako yakiwa yamekolea.
  • Kama unataka maneno yako yawe kwenye mcharazo (Italic) anza kwa kuandika -maneno yako- hapo utaona maneno yako yamekua kwenye mcharazo.
  • Kama unataka kuona kuwa maneno yamekatwa (Strikethrough) anza kwa kuandika ~maneno yako~ hapo utaona maneno yako yakiwa na mkato.

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka,pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa.

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use