in

Kampuni ya Microsoft Yasimamisha Utengenezaji wa Xbox 360

Kampuni ya Microsoft ya marekani hivi majuzi imetengaza kusimamisha utengenezaji wa Game zake za xbox 360, game hiyo iliyozinduliwa 22 November 2005 imesimamishwa na kutangazwa na kiongozi wa kampuni ya Xbox Phil Spencer ambapo aliandika kwenye blog ya Xbox kuwa kampuni hiyo imesimamisha utengenezaji wa game hizo lakini game hizo hazitakua zikifanya kazi kama kawaida.

Kiongozi huyo aliendelea kusema kuwa server za xbox 360 zitaendela kuwa kwenye mtandao na watumiaji wa game hizo wataendelea kufuraia game hizo kama kawaida lakini hakutakuwa na toleo jipya la game hiyo ya xbox 360 hata hivyo watumiaji wa game za xbox one wataendelea kufurahia kama kawaida CD za michezo yote ya game ya Xbox 360.

Kampuni ya Sony Yatangaza Kuja na PS5 Mwaka Huu 2020
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 1

Toa Maoni Hapa

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.