Game ya Dark Souls 3 Yavunja Rekodi ya Mauzo

Game ya Dark Souls 3 Yavunja Rekodi ya Mauzo Game ya Dark Souls 3 Yavunja Rekodi ya Mauzo

Kwa wale wapenzi wa programu za michezo (game) ya Play station, Xbox, PC na nyingine nyingi kuna game inayosubiriwa kwa hamu sana Afrika mashariki inajulikana kama “Dark Souls 3” game hii baada ya kuzinduliwa tu imeonekana kufanya vizuri sana katika upande wa mauzo, hii imetangazwa na kampuni ya Bandai Namco ambao ndio wauzaji na wa game hiyo kali.

Kwa hiyo basi kama wewe ni mpenda game kama mimi usikose kucheza game hii kali sana kwa wasio ijua game ya “Dark Soul” ilitengeneza mwaka 2014 na kampuni ijulikanayo kama FromSoftware na kusambazwa na kampuni ya Bandai Namco. Game hii maarufu inategemewa kutoka April 12, 2016 kwa watumiaji wa window PC.

Kuijua zaidi pitia blog hii Fromsoftware au angalia trailer ya game hiyo hapo juu, ni game kali sana kwa watu wote wanaopenda programu hizi za michezo ama games.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use