Kaa Tayari Kununua Toleo Jipya la iPad Air 2

Kaa Tayari Kununua Toleo Jipya la iPad Air 2 Kaa Tayari Kununua Toleo Jipya la iPad Air 2

Minongono iliopo mitandaoni kwa sasa inasema kwamba kampuni ya Apple iko tayari kuachilia toleo lake jipya la iPad, kwa mojibu wa blog maarufu ya habari za technolojia ya  9to5mac’s  Apple watatoa toleo hilo jipya wiki ijayo kwenye mkutano wa waandishi wa habari.

Habari kutoka kwenye blog hiyo zinaendelea kusema kuwa iPad hiyo yenye inch  9.7 itaanza kuuzwa kwa bei kuanzia dollar $499 hadi dollar $599 sawa na shilingi za kitanzania milioni 1,400,00 hata hivyo blog hiyo inaendelea kuandika kuwa iPad hiyo itakua na Memory ya 32GB pamoja na kuwa na ubora na kasi zaidi kuliko iPad zingine zilizo wahi kutolewa na kampuni hiyo.

[alert type=”info” main_text=”Kwa taarifa zaidi pitia tena habari hii kuangalia kama kuna taarifa mpya za tukio hilo la uzinduzi” show_close=”true”]
Advertisement
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use