in

Angalia Hapa Uzinduzi Rasmi wa Bidhaa Mpya za Apple Leo

Angalia Hapa uzinduzi wa bidhaa za apple, inasemekana kutakua na uzinduzi wa iPhone mpya pamoja na iPad, hapa utangalia live uzinduzi huo ambao utafanyika huko Cupertino, California office saa 1:00 p.m. kwa saa za uko marekani.

Uzinduzi huo unaonyeshwa rasmi kupitia website ya apple lakini kwa wale wanao tumia tu vifaa vya Apple yani iPhone, iPad, na Mac na hata pia wale wenye iPod. Kama wewe unatumia vifaa vya apple unaweza kuangali event hiyo rasmi hapa

Bofya hapa kuangalia Live Uzinduzi Rasmi wa Vifaa vya Apple 

Ila kwa wale wanaotaka kuangalia uzinduzi huu kupitia Tanzania Tech Bonyeza video hapo juu ya uzinduzi huo rasmi live kabisa kutoka Cupertino, California.

Jiandae na Simu Mpya za TECNO CAMON Nchini Tanzania
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.