likija katika swala la kununua TV ni lazima upate uhakika yakua una nunua TV bora na nzuri sawa na thamani ya pesa yako. Lakini unajuaje TV nzuri ya kununua wakati kwa sasa kuna TV nyingi sana kutoka makampuni mbalimbali zenye vioo vinavyo tofautiana na zinazotumia technolojia tofauti. Hili ni swali gumu sana kwani Tecnolojia za Tv na tv zenyewe zinatofautiana sana, hivyo kukufanya mtu uchanganyikiwe pale unapotaka kununua TV.
Lakini kama unataka kujua ni TV ipi ya kununua pale unapotaka kupata TV bora na yenye picha na muonekano mzuri pamoja na sauti bora. Hizi ni TV bora kwa mwaka huu wa 2018 – 2019 bila shaka hapa utapata ulichokua unatafuta.
1. Panasonic TX-65CZ952
TV hii bei yake ni kubwa kidogo lakini kama unatafuta TV nzuri yenye uwezo wa kupendezesha sebule yako na yenye uwezo mkubwa na picha bora TV hii inafaa sana.
Sifa
- Screen size: 65-inches
- Tuner: Freeview HD
- Resolution: 3840 x 2160
- Panel technology: OLED
- Smart TV: Custom Panasonic
- Curved: Yes
- Dimensions: 1,448 x 913 x 311 mm
2. Sony KD-75X9405C
TV hii ya Sony ni moja kati ya TV bora sana kutoka katika kampuni ya sony TV hii inasemekana kuwa na uwezo wa Android yani Android TV, Tv hii ni moja kati ya tv bora zilizo wahi kutengenezwa na Sony kutokana na Ubora wa picha na Sauti. Kama wewe ni mpenzi wa Sony na unapenda Muziki na Picha bora hii Tv ni kwaajili yako
Sifa
- Screen size: 75-inch
- Tuner: Freeview HD and FreeSat HD
- Resolution: 3840 x 2160
- Panel technology: LED
- Smart TV: Android TV
- Curved: No
- Dimensions: 1041 x 1929 x 322mm
3. LG 55EG960V
TV hii ya LG ni moja kati ya tv bora sana zenye uwezo wa OLED tv hii inaonyesha picha angavu na inafaa sana kwa kutizamia filamu zenye uwezo wa 3D, Tv hii ni Smart Tv na nimoja kati ya tv bora za sasa.
Sifa
- Screen size: 55-inch
- Tuner: Freeview HD and FreeSat HD
- Resolution: 3840 x 2160
- Panel technology: OLED
- Smart TV: webOS
- Curved: Yes
- Dimensions: 760 x 1226 x 213mm
4. Samsung UE48JU7000T
Samsung wamefanikiwa tena kutengeneza Tv ambayo inatumia Technolojia ya UHD. Tv hii imetengenezwa kwaajili ya watu wanaopenda filamu na pia bei ya Tv hii ni rahisi kidogo hivyo kufanya watu kuimudu.
Sifa
- Screen size: 48-inch
- Tuner: Freeview HD
- Resolution: 3840 x 2160
- Panel technology: LED
- Smart TV: Tizen
- Curved: No
- Dimensions: 683 x 1087 x 278 mm
5. Panasonic TX-40CX680B
TV hii ya Panasonic ni moja kati ya Tv za kisasa zinazo tumia OS ya FireFox. Tv hii ni Smart Tv yenye uwezo mkubwa sana kwa wapendao application kwenye Tv, tv hii ni bora sana na inao uwezo mkubwa sana na kama ungependa kubadilisha Tv yako kuwa kama Computer ya kisasa TV hii ni kwaajili yako.
Sifa
- Screen size: 40-inch
- Tuner: Freeview HD
- Resolution: 3840 x 2160
- Panel technology: LED
- Smart TV: Firefox OS
- Curved: No
- Dimensions: 560 x 904 x 202 mm
6. Samsung UE32J6300
TV hii ya Samsung ni Tv ambayo ni nzuri zaidi kama itakua inatumika chumbani au hata sebule ndogo au sebule ya pili katika nyumba yako tv hii ni HD na inauwezo mkubwa wa kuweka application nyingi japo kuwa kuna wakati inakuwa slow kidogo.
Sifa
- Screen size: 32-inch
- Tuner: Freeview HD
- Resolution: 1920 x 1080
- Panel technology: LED
- Smart TV: Smart Hub
- Curved: Yes
- Dimensions: 730 x 428 x 79mm
Kujua mahali pa kununua Tv hizi kwa Dar es salaam tutaendele ku-update makala hii, kwa hiyo tembelea hapa ilikujua bei pamoja na mahali pa kuzinunua TV hizi.
tunaomba mume mnaweka na bei zake…kazi njema
Asante Masonga, Tutakuwa tunafanya hivyo kwenye siku za usoni Asante sana kwa kutembelea blog ya tanzania tech
Jamani tunaomba muwe mnatuwekea hata bei si lazima mkasemase hela tasilimi, mfano, mnaweza kusema bei yake ni kuanzia sh. 400,000/= mpaka 500,000/= ni mfano tu Kama kutaja bei ya moja kwa moja ni ngumu.
JE hisense hazina ubora?
Bei nzuri kuweka
Weaken bei,pia kama mna projectors weken
Haina maana kutangaza biashara bila kuweka bei haileti mvuto wengi wataishia kuangalia na kaacha tu..
Asante kwa kutembelea tanzania tech privat, sisi hatufanyi promoshen yoyote ya bidhaa hizo bali tunakurahisishia kujua ni Tv ipi iko kwenye ubora na mambo mengine kama hayo. Ila tutajitahidi kuweka bei hivi karibuni hivyo pitia ukurasa huu kila siku kuona bei za TV hizi.
Nafikiri kwenye sifa hapo ndio kuna utata, watu hatuwezi kutofautisha ubora wa skrin moja na nyingine kwa7bu hatujui maana ya baadhi ya sifa zilizo ainishwa kwa mfano diamation, panel technology na nyingine kwahiyo ni bora kutoa ufafanuzu wa hizo sifa ili mtu atumie akili yake mwenyewe kuchagua kile anachokipenda
Asante sana dan kadama tunashukuru kwa ushauri wako tuna ahidi kufanyia kazi ushauri wako.
Thanx Umeeleza Meng Xana,,lkn Ume2xahau 2naoish Kwny Single Room,,namaanisha Nmeona Tv Zote Zina Inches Kubwa Xana Je Inamaana Ndogo Zake Hazpo? Umetaja 48 Inches, 55 Inches, Hadi 65 Inches Hapo Nmejickia Vby Nkajiulza Kachumba Kadogo Niweke 48inches Itkw Vurugu Weka Bei Zake Then U2ambie Kama Na Ndogo Zake Zipo,,,,pa1.
Asante sana Allan kwa kutembelea blog ya Tanzania tech tuna fanyia kazi maoni yako.. Hivi karibuni tuta chapisha makala mpya ya kuhuiana na hilo
Comment*natwa issa nipo mwanza nataka frat skreen nchi 24 beigan
Comment* kamanda uk poa.je inchi 24 hebu tuchambulie tupate elimu.pia nina tv ya rising mbona mtandaon siioni au ni fek
NIMEKUBALI BEI JE?
Tunategemea kuandika makala mpya hivyo endelea kutembelea Tanzania Tech
Maoni*we will appreciate zaidi Kama mkiwa mnaweka price zake.Thanks for the information anyway.
Oky we will, thank you Ms. Christina for visiting Tanzania Tech.
OK bidhaaa mmeweka chache sana pia bei muhimu muweke cos wengine kabla hatujanunuà tunapata ufàhamu kwanza kupitià mitandao kama hii….
Karibu sana Joel Tutajaribu kuweka bei pamoja na mahali pa kununua hizi kwa hapa Tanzania.
Nataka TV Sony inches 32 bei gani niko Tukuyu Mbeya
Nzungu sisi hatuuzi Televisheni bali hii ni tovuti ya habari za teknolojia.
Maoni* andiken inch na bei zake
Maoni*andiken inch na bei zake tujue
Maoni* Tutapateje hizo screen huku mikoani kwa bei nafuu na spea zake kama ikiharika.?
Karibu sana Anthony
Maoni* Bei ndio kila ki2
Maoni* Mimi na lia na bei
mkuu fany mpang wa kuwk bei plez
Tutafanya hivyo karibu sana
Hello jina langu ni hamisi Salehe . kabila yangu ni mwarabu kutoka Pemba na Mimi binadamu Kiziwi,,,,,,,,kijana ya mkubwa umri 25. Natakiwa na kununua TV. Ahsante
Naomba mueke bei elekezi za hizo vifaa tupate kujua ilitujipange vizuri.
Maoni*Edgar!!! Nampanga Mtwara: Muweke bei tujue
Maoni* Edgar!!! Nampanga wa Mtwara; Muwe mnaweka bie
Maoni*aborder smart life nch 32 zina ubora?
Naitwa patrick morice nipo Tanzania kagera, > weken bei jaman mahana ata sisi tutafurai kuona tv na bei yake itapendeza zaidi
Ninaulizia ubora wa smart tv aina ya Haier
tv nzenu zuri … lakini tunataka muweke na bei basi
emmanuel w soka
tungependa muweke na bei basi ndugu
Mbona Samsung uwezo wake umekuwa chini hasa upande wa resolution.
Bei sasa
Na sisi tunaotaka machogo je??
Maoni*vizursana nimependa hii ,naomba kuuliza ivi ziletivii zenyee kin’gamuz ndanikwandani zinakuaje kuntakua nauwezekano wakuunga kin’gamuzkingine kweli au ndio eeh!
Naitwa jumaatangawiz kutoka mtowambu ,,vizursana nimependa hii ,naomba kuuliza ivi ziletivii zenyee kin’gamuz ndanikwandani zinakuaje kuntakua nauwezekano wakuunga kin’gamuzkingine kweli au ndio eeh!??
Wekeni bei chini ya tv