in

Sony Yazindua Series Mpya ya Xperia X

Sony Yazindua Series Mpya ya Xperia X

Kampuni kubwa ya simu za mkononi ya Sony siku ya jana ilitoa toleo jipya la simu yake ya “Sony Xperia X” wapenzi wa simu hizo kote duniani jana walijumuika uko Barcelona ili kuona uzinduzi wa simu za Sony Xperia X, Sony Xperia Parfomance na Sony Xperia XA. Simu hizo zitakuja na rangi nyeupe pamoja na Gold, Simu hiyo inakuja na kava zake maalumu ambazo zitafanya simu hiyo kuvutia zaidi.

Simu zote hizo za “Sony Xperia X Series” zinatumia Android 6 iliyopewa jiana la Marshmallow, hata hivyo zipo zilezinazotumia Line mbili, Simu za “Sony Xperia X” na “Sony Xpera Performance” zinaonekana kutumia specification zinazo fanana.

Sony Xperia X specs:

 • Processors: Qualcomm Snapdragon 650 (Xperia X); MediaTek MT6755 (Xperia XA)
 • Screen: 5-inch full HD (Xperia X); 5-inch HD (Xperia XA)
 • Dimensions: 5.62 by 2.73 by 0.31 inches (142.7 by 69.4 by 7.9mm) (Xperia X); 5.65 by 2.62 by 0.31 inches (143.6 by 66.8 by 7.9mm) (Xperia XA)
 • Weight: 5.39 oz (153g) (Xperia X); 4.84 oz (137.4g) (Xperia XA)
 • 3GB RAM, 32GB onboard storage (Xperia X); 2GB RAM, 16GB onboard storage (Xperia XA)
 • Android 6.0 Marshmallow
 • microSD card slot
 • Batteries: 2,620mAh (Xperia X); 2,300mAh (Xperia XA)
 • Rear camera: 23-megapixel (Xperia X); 13-megapixel (Xperia XA)
 • Front camera: 13-megapixel (Xperia X); 8-megapixel (Xperia XA)
 • Fingerprint sensor on power button (Xperia X only)
Kampuni ya Samsung Yazindua Simu Mpya ya Galaxy M51

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.